Tangazo

November 1, 2011

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA CEO WA STANDARD CHARTERED BANK AFRICA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard  Chartered Barani Afrika, Diana Layfield (katikati) na Ofisa Mtendaji  Mkuu wa Benki hiyo nchini  Jeremy Awori kabla ya mazungungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, Novemba 1,2011. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo  na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard  Chartered Barani Afrika, Diana Layfield (kulia) na Ofisa Mtendaji  Mkuu wa Benki hiyo nchini  Jeremy Awori  Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Novemba 1,2011. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)

No comments: