Tangazo

November 3, 2011

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA BOSS MPYA WA VODACOM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya simu za Mikononi ya VODACOM_Bw. Rene Meza kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 3, 2011  Katikati ni Ofisa Mkuu wa VODACOM TANZANIA, Mwamvita Makamba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: