Tangazo

November 19, 2011

Waziri Mkuu Pinda, Waziri Kombani katika Furaha ya Bunge kupitisha Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani (kushoto)  na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Abubakar  Khamis Bakari  (katikati) wakifurahia baada ya Bunge kupitisha Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa 2011 kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 18,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Songea Mjini ambaye pia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr. Emmanuel Nchimbi wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Novemba 18,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: