Tangazo

November 18, 2011

MAKOCHA WA NGUMI WALIOKUWA WAHUDHURIE KOZI MKOANI PWANI WAACHWA KWENYE 'MATAA'


Baadhi ya makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa Kibaha Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuuzuria kozi ya makocha iliyotarajiwa kuanza kesho Jumamosi hata hivyo kozi hiyo iliota mbawa baada ya Mkufuzi aliyeteuliwa na Chama cha Ngumi cha Dunia (AIBA) kupata dharura kozi hiyo iliyoandaliwa na kamati ya Olimpiki (TOC) na kuwafanya kwa makocha hawo kutojua hatma yao baada ya kufika Pwani bila kupewa stahiki zao walizoaidiwa katika barua ikiwemo usafiri wa kwenda na kurudi pamoja na chakula na kujitafutia usafiri kwa njia yao wenyewe kurudi mikoani kwao.
 

Makamu wa Rais wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT), Michael Changalawe (kulia) akizungumza na makocha wa ngumi nchini wakati walipowasili, Kibaha Mkoa wa Pwani.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: