Mkurugenzi wa Mawasiliano kampuni ya SBL, Teddy Mapunda (katikati), akizungumzia namna udhamini wao utakavyokuwa kwa timu hizo, wengine kulia na kushoto ni Nahodha wa timu ya Bunge, Mh Amos Makalla na Mwenyekiti wa timu ya Baraza la Wawakilishi, Mh Hamza Hassani Juma. |
No comments:
Post a Comment