Tangazo

January 23, 2012

BONANZA LA WAFANYAKAZI WA SAHARA COMMUNICATIONS LTD MWANZA LAFANA, NAPE AHUDHURIA



Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki mchezo wa kuvutana kwa kamba na wafanyakazi wa Sahara Communications Ltd, wakati wa Bonanza la wafanyakazi hao kwenye ufukwe wa Ziwa Victoria jijini Mwanza.

Nape na baadhi ya wafanyakazi wa sahara wakishangilia baada ya kundi lao kuwashinda wengine katika kuvuta kamba.


Nape akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Sahara Communications Ltd wakati wa bonanza hiyo.







No comments: