Tangazo

January 23, 2012

Airtel yawaburudisha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Lyceum katika onyesho la 5select

Mwanafunzi wa shule ya sekondari Lyceum Neema akionyesha kipaji chake cha kuimba wakati wa onyesho maalumu la 5selekt lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya simu za mkononi ya Airtel  na kufanyika shuleni hapo na kuudhuriwa na walimu na wanafunzi.

Mwanafunzi wa shule ya sekondari Lyceum Duah Ramadhani akionyesha kipaji chake cha kuimba wakati wa onyesho maalumu la 5selekt  lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya simu za mkononi ya Airtel  na kufanyika shuleni hapo na kuudhuriwa na walimu na wanafunzi.

Wanafunzi wa shule ya sekondari Lyceum wakionyesha umahiri wao katika kucheza muziki wa kwaito wakati wa onyesho maalumu la 5selekt lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya simu za mkononi ya Airtel  na kufanyika shuleni hapo na kuudhuriwa na walimu na wanafunzi.

Mwanamuzi wa kikazi kipya Albert Mangwea a.k.a Ngwea akishirikiana na Rommy John akitoa burudani ya musiki na kurusha kibao chake maarufu cha “Nipe dili” kwa Wanafunzi wa shule ya sekondari Lyceum wakati waonyesho maalumu la 5selekt  lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na kampuni ya simu ya simu za mkononi ya Airtel  na kufanyika shuleni hapo na kuhudhuriwa na walimu na wanafunzi.

No comments: