Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akitoa maelekezo kwe Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Ulanga, Bw. John Makotta kuhusu mipaka ya mashamba ya wakulima kwenye Bonde la Mto Kilombero Mkoani Morogoro jana. [Picha na Ali Meja]. |
No comments:
Post a Comment