Tangazo

January 20, 2012

JK KATIKA MSIBA WA MAREHEMU JEREMIAH SUMARY JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Kikwete akimpa pole mjane wa Marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha wa wa zamani aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es salaam. Hapa ni nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach, Dar es salaam jana jioni.

JK akiweka sahihi kitabu cha maombolezo.

JK akiongea na ndugu wa marehemu pamoja na Spika Anne Makinda na Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa na mtoto wa marehemu Sumary.

JK akitoa pole kwa wafiwa.

No comments: