Tangazo

January 16, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MSIBA WA MBUNGE WA CHADEMA MAREHEMU REGIA MTEMA NYUMBANI KWAKE TABATA

Rais Jakaya Kikwete akiungana na waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA), Mh. Regia Mtema January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe walikuwapo. PICHA NA IKULU




No comments: