Tangazo

January 16, 2012

WADAU WAZUNGUMZIA MAANDALIZI YA SENSA 2012

Katibu Mkuu wa Wizara ya  Fedha,  Ramadhan  Khijjah  akizungumza na wadau mbalimbali  jijini Dar e salaam  Jan. 13. 2012 kuhusu maendeleo  ya  maandalizi  ya  SENSA ya watu na makazi nchini  itakayofanyika August 26,mwaka huu. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Baadhi ya wadau wa maendeleo ya sensa ya watu na makazi wakifuatilia taarifa na mkutano huo. 

Baadhi ya wadau wanaoshughulikia maendeleo ya maandalizi ya SENSA ya watu na makazi nchini itakayofanyika August,26, mwaka huu wakijadiliana katika kikao hicho. 

No comments: