Tangazo

January 1, 2012

SALAM ZA MWAKA MPYA KUTOKA NKOROMO DAILY BLOG

Mtayarishaji Mkuu wa Nkoromo Daily Blog, bashir Nkoromo (Pichani) kwa dhati kabisa anakutakia heri na fanaka ya mwaka mpya wa 2012. Bila shaka 1-1-1 ilipoanza kuhujua kama 2011 utaumaliza. Lakini baada ya kupambana na changamoto za hapa na pale huku ukipata na tumafanikio kiasi, kwa nguvu za Mwenyezi Mungu leo umeanza 1-1-2. HONGERA SANA!

No comments: