Tangazo

January 1, 2012

Waziri Mkuu Pinda atembelea Waathirika wa Mafuriko Dar

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa pole  baadhi ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es salaam  kwenye shule ya sekondari ya Benjamin Mkapa wakati alipowatembelea Desemba 31, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Vijana wakipika ugali kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya Dar es salaam walioweka kambi kwenye shule ya sekondari ya Benjamin jijini Dar es salaam wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowatembelea Desemba 31, 2011.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam ambao wameweka kambi katika shule ya sekondari ya Benjamin Mkapa Desemba 31, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: