Tangazo

January 13, 2012

SHEREHE ZA MIAKA `48 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR - KATIKA PICHA

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na balozi wa marekani nchini, Alfonso Leinhardt.

Rais Jakaya Kikweteakisalimiana na makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaafu Mh Ramadhani Haji Fakhi


Wananchi wakishuhudia mizinga 21 ikipigwa.


Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua gwaride maalum wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Jakaya Kikwete.

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais mstaafu Ben Mkapa.











Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete wakifurahia jambo.

 Rais Jakaya Kikwete akisalimina na Mama Fatma Karume mke wa muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, hayati Abeid Aman Karume.


No comments: