Tangazo

February 8, 2012

BREAKING NEWS: WANAHARAKATI JIJINI DAR WAANDAMANA LEO KUISHINIKIZA SERIKALI KUMALIZA MARA MOJA MGOGORO NA MADAKTARI

Legal and Human Rights Centre (LHRC), wakishirikiana na asasi nyingine nyingi za kiraia, wamefanya maandamano ya amani saa nane  mchana leo Februari 08.12, kuanzia Salendar Bridge mbele ya bustani za St.Columba Parish (Mkabala na Hoteli ya Palm Beach), ili kuishinikiza serikali kutatua mara moja matatizo yanayowahusu Madaktari nchini ili kunusuru maisha ya wananchi. Mwenye nguo nyeusi ni Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC , Mama Kijo Bisimba.




No comments: