Tangazo

February 8, 2012

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2011 YATANGAZWA RASMI NA YAWEKWA LIVE

Kwanza tunapenda kuwasalimu wakubwa Shikamoo na vijana wenzetu wote mambo vipi? Kwa Heshima na Taadhima timu nzima ya Matukio na wanavyuo(www.tzwanavyuo.blogspot.com) tunapenda kuchukua nafasi hii ya Kipekee na kwa niaba ya Baraza la mitihani Tanzania kuweka hewani moja kwa moja matokeo ya kidato cha nne ambapo watahiniwa walifanya mitihani hiyo mwaka Jana 2011. Hongera sana kwa wote walio fanya vizuri na kwa wale walio Feli tunawapa pole na wafanye bidii kurudia tena mitihani hiyo.
 
Imetolewa na Matukio na wanavyuo Crew: Website: www.tzwanavyuo.blogspot.com
E-mail: twanavyuo@live.com

No comments: