Tangazo

October 20, 2011

TIMU YA NAPE NNAUYE YAUNGURUMA KATORO, GEITA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika stendi ya mabasi Katoro, Geita jana.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) akikaribishwa kuhutubia na Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba katika mkutano wa hadhara uliofanyika Stendi ya mabasi, Katoro, Geita.
 
Aliyekuwa Katibu wa Uenezi wa CHADEMA Kata ya Katoro Anastazia Marwa akimkabidhi kadi ya chama hicho Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipotangaza kuhamia CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana, Stendi ya Mabasi, Katoro, Geita. Anastazia alikuwa pia  Katibu wa Barza  la CHADEMA jimbo la Busanda, Geita.

Kina mama wakimshangilia aliyekuwa Katibu wa Uenezi wa CHADEMA Kata ya Katoro Anastazia Marwa baada ya kutangaza kuhamia CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya John Mass, akionyesha umahiri wake, alipotumbuiza katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana kwenye Stendi ya Mabasi, Katoro, Geita.

Nape, Mwigulu na Mbunge wa Mtera Livimgstone Lusinde wakitoka katika mkutano huo, uliofanyika Stendi ya Mabasi, Katoro, Geita. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments: