Tangazo

February 6, 2012

JK ahutubia maelfu katika sherehe za miaka 35 ya CCM Mwanza


Rais Jakaya Kikwete akihutubia maelfu ya wana CCM na wakaazi wa Mwanza jana katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba. PICHA/IKULU

Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda na wakinamama wakisherehekea miaka 35 ya CCM baada ya kukunwa na wimbo wa Vicky Kamata.

No comments: