Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba akisalimiana na wagonjwa wanaosumbuliwa na ugonjwa wa festula waliolazwa katika Hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam, baada ya kuzindua kampeni ya MOYO inayolenga kuhamasisha jamii kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia wanawake wenye matatizo ya ugonjwa huo. |
No comments:
Post a Comment