Tangazo

February 6, 2012

Rais Kikwete awapiga jeki milioni 10/- 'Wamachinga' jijini Mwanza

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo Januari 06, 2012 walikwenda Ikulu ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili ya wamachinga hao kukopeshana mitaji. PICHA/IKULU

No comments: