Tangazo

February 3, 2012

TANGAZO LA KIFO


FAMILIA YA MAREHEMU  SHITIRAEL MAMFERE URASSA WA MACHAME NKUU NNDOO  INATANGAZA KIFO CHA MAMA YAO MPENDWA  ELIASHISHI SHITIRAELI URASSA  KILICHOTOKEA  NYUMBANI KWAKE  NKUU NNDOO MACHAME  FEBRUARI 2, 2012.

HABARI ZIWAFIKIE  WANAUKOO WOTE  WA URASSA ,  SWAI  NA MUSHI  WA LYAMUNGO  NA NKUU POPOTE PALE WALIPO, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI  POPOTE PALE WALIPO.

BWANA AMETOA NA BWANA AMTWAA, JINA LA BWANA LIBARIKIWE. AMINA

No comments: