Tangazo

February 1, 2012

Waziri Mkuu Pinda ateta na 'Maboss' wa NEC

Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva  (wa tatu kushoto) , Makamu Mwenyekiti wa Tume,  Mh. Hamid M.  Hamid na Mkurugenzi wa Tume ya  Uchaguzi, Julius Mallaba. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Februari 1, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: