Tangazo

March 9, 2012

Uzinduzi wa Msikiti wa Masjid Maamur wa Kiembesamaki Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani wilaya ya Magharibi Unguja jana,ambao unauwezo wa kuswaliwa na waumini 400 kwa wakati mmoja,thamani ya ujenzi w msikiti huo ni Milioni 170/-. Kulia ni Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji.PICHA NA RAMADHAN OTHMAN WA IKULU ZANZIBAR

Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini hao jana baada ya kuufungua  Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani Wilaya ya Magharibi Unguja jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini wa dini ya kiislamu baada ya kuufungua  Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani Wilaya ya Magharibi Unguja jana,ambao unauwezo wa kuswaliwa na waumini 400 kwa wakati mmoja.

No comments: