Tangazo

March 9, 2012

Serengeti Breweries Limited (SBL) na ITV/Radio One wadhamini Maadhimisho ya 24 ya Wiki ya Maji


Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Machi 09.12, kuhusu Maadhimisho ya 24 ya Wiki ya Maji ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Iringa  kuanzia tarehe 16-22 mwezi huu . Wadhamini wa Maadhimisho  hayo ni Kampuni ya Bia ya Serengeti na ITV na Redio One huku Kaulimbiu  ikiwa  ni Maji na Usalama wa Chakula. Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mhandisi Christopher Sayi. Picha na Anna Nkinda - Maelezo

Naibu waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge (katikati) akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi huduma za maji vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya maandalizi ya maadhimisho ya 24 ya wiki ya maji, Mhandisi Amani Mafuru mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa waandishi wa habari huku  Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mhandisi Christopher Sayi akifuatilia kwa ukaribu mazungumzo hayo.

No comments: