Tangazo

April 19, 2012

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA MWAKA WA WANACHAMA WA MFUKO WA AKIBA YA WAFANYAKAZI SERIKALINI - JIJINI MWANZA

Makamu wa Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Wafanyakazi Serikalini, ulioanza leo Aprili 19, 2012 kweye Ukumbi wa Hoteli ya Gold Grest, jijini Mwanza. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Mwanachama wa Mfuko wa GEPF, Andrew Maziku, aliyefanya vizuri katika kuwekeza akiba katika mfuko huo, wakati Makamu alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gold Grest, jijini Mwanza, leo Aprili 19, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Mwanachama wa Mfuko wa GEPF, Omary Mataka, ambaye ni Dereva Tax wa jijini Dar es Salaam, aliyechangia binafsi kuweka akiba katika mfuko huo, wakati Makamu alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gold Grest, jijini Mwanza, leo Aprili 19, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akikata utepe kuzindua mpango wa Wanachama wa Mfuko wa GEPF, kuchangia na kuweka akiba zao kupitia huduma ya Airtel Money, wakati Makamu alikuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini, jijini Mwanzanleo Aprili 19, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Viongozi, wafanyakazi na wadau wa Mifuko ya Jamii baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini, jijini Mwanzanleo Aprili 19, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: