Tangazo

April 16, 2012

RAIS JAKAYA ASHIRIKI MAZISHI YA MKUU MAJESHI MSTAAFU, JENERALI KIARO

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Mkuu wa Majeshi mstaafu Marehemu Jenerali Ernest Mwita Kiaro wakati wa mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara jana.

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Mkuu wa Majeshi Mstaafu Marehemu Jenerali Ernest Mwita Kiaro wakati wa mazishi yake huko Tarime,mkoani mara jana. (picha na Freddy Maro).

No comments: