Tangazo

April 12, 2012

Taswira ya Leo

Wakati nikitokea mkoani Iringa njiani niliweza pata taswira hii ya wachuuzi wa nyanya wakisubiri wateja katika kijiji cha Mbigili Mkoani Iringa hivi karibuni. Ndoo moja ya nyanya yenye ujazo wa lita 20 iliuzwa kwa bei ya 13,000/-  hadi 14,000/-. Picha/Daily Mitikasi Blog

No comments: