Tangazo

April 11, 2012

HONGERA MTOTO 'SUZY' KWA KUTIMIZA MWAKA MMOJA

Familia ya Bw & Bi. John Badi wanampongeza binti yao, Suzana 'Suzy' John Badi kwa kutimiza umri wa Mwaka Mmoja, Mungu akubariki, akulinde na kukupa afya njema.

No comments: