Tangazo

April 19, 2012

Waziri Mkuu Pinda Bungeni mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa kiongozi wa upindani Bungeni, Freeman Mbowe wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 19, 2012. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: