Tangazo

May 25, 2012

Matukio zaidi ya Uzinduzi wa Kili 100% TZ Flava -Nyumbani Lounge


Maofisa wa TBL, wakifurahia jambo na Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (kushoto).

Wadau.

Kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge kilisheheni.

THT kazini hakuna kulala.

Maofisa wa TBL wakishow love.

Duuuu...! Hartman Mbilinyi kwa bites sikuwezi. Kushoto kwake ni Aunt Ezekiel.




Machozi Band wakiongozwa na Jonico Flower (wa pili kulia) na Mao Santiago (wa pili kushoto).

Kutoka kushoto: Phares Magesa Makamu wa Rais wa TBF, DJ Venture na Steve Nyerere 'Tajiri Mtoto'.
Wadau.

Mkurugenzi wa African Stars Intertainment Tanzania (ASET), Asha Baraka 'Iron Lady'  akifurahia jambo na Mhariri Mkuu wa Blogu hii, John Badi.

No comments: