Tangazo

May 24, 2012

SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU KAMPENI MPYA YA KILI-100% TZ Flava


Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager George Kavishe akizungumza katika semina ya waandishi wa habari za michezo kuitambulisha Kampeni mpya ya 100% Tz Flava inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. Kampeni hiyo ilizinduliwa Jijini Dar es Salaam leo Mei 24,12.PICHA ZOTE/JOHN BADI


Waandishi Waandamizi wa Habari za Michezo (kutoka kushoto), Somoe Ngi'tu (The Guardian & Nipashe), Vicky Kimaro (Mwananchi) na Zena Chande (Habari Leo), wakiwa katika semina hiyo.

Semina ikiendelea.

Mwandishi wa habari za Michezo wa TBC, Andela Msangi akiuliza swali.

Mabloga (kutoka kushoto), Muhidini Zubery wa Bin Zubery Blog, John Badi wa Daily Mitikasi Blog, Bashir Nkoromo wa Nkoromo Daily Blog na  CCM Blog Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa na Michuzi Blog wakishow love na Mwandishi Mwandamizi wa Habari za Michezo wa Habari Leo, Zena Chande muda mfupi baada ya kumalizika kwa semina hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Executive Solutions Ltd, Aggrey Marealle akitoa neno la shukrani baada ya kumalizika kwa semina hiyo. Executive Solutions Ltd ndio waratibu wa Media katika Kampeni hiyo.

No comments: