Tangazo

June 4, 2012

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI-KILIMANJARO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti aina ya Mroliondo katika eneo la Chem chem ya Maji Njoro, Juni 03. 2012, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: