Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Waqrioba, Waziri wa Kazi na Ajira Mhe Gaudencia Kabaka, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, na wanafamilia wa wafiwa wakitoa heshima za mwisho kwa mama wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Stephen Wassira (kushoto) , Marehemu Esther Mgaya Mankaba, leo nyumbani kwa Mhe Wassira jijini Dar es salaam Juni 29, 2012. Baada ya heshima za mwisho mwili wa marehemu utasafirishwa kuelekea wilayani Bunda kw mazishi.PICHA NA IKULU
|
No comments:
Post a Comment