Tangazo

June 29, 2012

WARATIBU CHF MTWARA NA LINDI WAPIGWA MSASA KUBORESHA UTENDAJI

DR. PHARES KINUNDA AFISA UDHIBITI UBORA WA NHIF AKIWASILISHA MADA YA MAJUKUMU YA WARATIBU WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA NA MIFUKO YA AFYA YA JAMII.

WASHIRIKI WA MAFUNZO WAKIFUATILIA KWA MAKINI MADA KUHUSU DHANA  YA MIFUKO YA AFYA YA JAMII NA MABORESHO HUDUMA ZA MATIBABU  KWA WANANCHI KUPITIA FEDHA ZA TELE KWA TELE.

WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

No comments: