Rais Kikwete na Mama Salma wakagua Mahindi Shambani kwao kijijini Msoga
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakikagua mahindi shambani kwao kijijini Msoga,Chalinze,wilayani Bagamoyo wakati wa mapumziko ya mwisho wa wiki. (picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment