Tangazo

June 12, 2012

REDD's Kudhamini Shindano la Miss World Tanzania 2012

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International, waandaaji wakuu wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo asubuhi  kuhusu shindano la Redd's Miss World Tanzania 2012, linalotarajiwa kufanyika Juni 16, mwaka huu. Kulia ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's,  Victoria Kimaro na Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania, Abert Makoye.

No comments: