Tangazo

June 18, 2012

TBL yakabidhi Kisima cha Milioni 25/- katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Saidi Amanzi (kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi kisima kipya kilichochindwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil. 25,  kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, wakati wa hafla iliyofanyika hospitalini hapo juzi.Kulia ni  Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo  ambaye alikabidhi kisima hicho. Katikati ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk. Jofrey Mtei.

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Saidi Amanzi (kushoto) akifungua maji kutoka katika bomba mara baada ya kuzindua kisima kipya kilichochindwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil. 25,  kwa ajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, wakati wa hafla iliyofanyika hospitalini hapo juzi. Anayenawa ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo  ambaye alikabidhi kisima hicho.

No comments: