Afisa Habari wa Taasisi ya Wanafunzi wanaosoma Shahada ya Kwanza ya Sosoholojia aliyemaliza rasmi muda wake ambaye pia ni Mmiliki wa Mtandao wa LUKAZA BLOG Mh Josephat Lukaza akiwa tayari ameshamaliza zoezi la uchangiaji wa Damu kwa Hiari ambalo liliandaliwa na taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOMSSO) zoezi lililofanyika Chuo Hapo. |
No comments:
Post a Comment