Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, Asha-Rosre Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 24, 2012 kwa ajili ya kushukuru baada ya kumaliza muda wake wa kazi katika Shirika hilo la Kimataifa UN. Picha na Muhidin Sufiani-OMR |
No comments:
Post a Comment