Tangazo

July 3, 2012

NUNU SIMU KWA 13,000/- TU WAHI BANDA LA VODACOM -SABASABA

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akimuonyesha Afisa Udhamini na Matukio wa Kampuni hiyo, Ibrahim Kaude simu ya mkononi aina ya ZTE s502 yenye Radio na Michezo inayouzwa kwa 13,000/- tu  ikiwa na muda wa maongezi ya 6,000/- ukitaka kupata simu hizo fika katika mabanda ya Vodacom yaliyopo katika viwanja vya Maonesho ya 36 ya Biashara Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es salaam.

No comments: