Rais Dk. Jakaya Kikwete amjulia hali bibi kikongwe(85) katika kijiji cha Msoga
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Bibi Antonia Mbagalla (85) katika kijiji cha Msoga, Kata ya Chalinze Wilayani Bagamoyo wakati wa mapumziko ya mwisho wa wiki leo(Jumapili).(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment