Tangazo

July 29, 2012

PINDA ATEMBELEA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA CDA KWENYE MANISPAA YA DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami  katika manispaa ya Dodoma Julai 29, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mafundi wakijenga daraja katika barabara za eneo la Kisasa kwenye Manispaa ya Dodoma  Julai 29,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: