Tangazo

July 16, 2012

Vodacom watembelea Mwambao FM jijini Tanga

Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom, Ibrahim Kaude (katikati), akifafanua jambo kwa ufasaha wakati wa mahojiano mafupi juu ya tamasha la Wajanja wa Vodacom.

Meneja wa Uhusiano wa Vodacom Tanzania,  Matina Nkurlu (kulia), akitoa ufafanuzi mbalimbali kuhusiana na mambo mbalimbali yatakayojiri ndani ya uwanja wa Mkwakwani,ambako tamasha la wajanja wa Vodacom litarindima.

 Mtangazaji wa redio ya Mwambao FM,Kikwato Jr akifafanua jambo mbele ya baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom,kuhusiana na namna mitambo ya kituo hicho kinavyorusha matangazo yake. Anaeshuhudia wa pili kushoto ni Afisa Udhamini na Matukio Ibrahim Kaude.

No comments: