Tangazo

August 8, 2012

J4C na ROMA wadai HAKI zao

J4C na ROMA wadai HAKI zao na si kivingine wala nini bali kimuziki na pande za noizmekah.com ndo jikoni mwa madai yote haya. 

This is a track about how much Tanzania needs change politically, socially, economically na sisi vijana kupitia sanaa yetu ya music cha zaidi tupeane support siku ya Iddi Mosi pande za Stadium Arusha kwenye Summer Jam ya "Mambo Jambo Radio"so this is an official release ya HAKI ZETU mimi nimepita verse ya kwanza na ya tatu then Roma kapita verse ya kati katika ii pini. one love to all ma fans.

No comments: