Mamia washiriki Mbio za Baiskeli za Safari Lager Kanda ya Ziwa
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya Safari Baiskeli Kanda ya Ziwa, wakijiandaa kuondoka kwenda Kahama na kurudi katika Uwanja wa Kambarage ikiwa ni maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane inayoadhimishwa leo nchini kote.
No comments:
Post a Comment