Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kushoto), akimkabidhi Msimamizi wa Kituo cha Kulelea Yatima cha Dar Ularqam msaada wa vyakula, katika hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwa vikundi 10 vya kulelea Yatima, Dar es Salaam juzi. Msaada huo ulitolewa na Mfuko wa Mtemvu Foundation. Wa pili kushoto ni mke wa Mtemvu, Mariam. Wa tatu kushoto ni mtoto wa mbunge huyo, Sitti ambaye pia alitoa sh. 100,000 kwa kila kikundi. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA |
No comments:
Post a Comment