Tangazo

August 27, 2012

RAIS KIKWETE NA FAMILIA YAKE WAHESABIWA KATIKA SENSA YA WATU NA MAKAZI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete na familia yake  akijibu maswali toka kwa karani wa sensa ya watu na makazi Bw. Clement Ngalaba Agosti 26. 2012, wakati alipojiunga na mamilioni ya Watanzania katika zoezi hilo lililofanyika kwa mafanikio makubwa nchi nzima. PICHA NA IKULU

No comments: