Tangazo

September 4, 2012

MAZISHI YA MWANAHABARI DAUDI MWANGOSI KATIKA PICHA

Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makaburini.

Ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko.

Mwili wa Mwangosi ukishushwa katika nyumba yake ya milele.

Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa tayari katika Kaburi.

Shughuri za kuzika zimeanza.

 Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la maua kwa uchungu.

 Mke wa Daudi Mwangosi akilia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe.

 Watoto wa Marehemu wakiweka mashada ya maua sasa.

 Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa akiweka Shada la maua.

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho baada ya kuweka shada la maua.

Profesa Mark Mwandosya na mkewe wakiweka shada la maua.

 Rais wa UTPC, Bw. Simbaya  akiweka shada la maua. PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG

No comments: