Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Habari jijini dar es Salaam Sept. 04.2012, kuhusu Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira wa Nchi za Afrika, kwaajili ya kutathimini utekelezaji wa makubaliano ya Mkutano wa 13 Uliofanyika Bamakonchini Mali, unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Julias Ningu. [Picha na Ali Meja] |
No comments:
Post a Comment