Tangazo

November 1, 2012

BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akijibu Maswali ya Papo kwa Papo Bungeni Mjini Dodoma , Novemba 1,2012.(Picha  na Ofisiya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizeno  Pinda na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini  Dodoma, Novemba 1, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: